Team Ronaldo mlitaka Messi ahamie timu gani?

Siasa mbaya sana

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
1,814
3,107
Team Ronaldo mlikua mnataka Messi ahame ligi kama Ronaldo leo mmebadilika Tena baada ya Messi kwenda PSG

Aisee eti mnasema kaenda farmers league Basi sawa ligi ya Ufaransa ni farmers league vipi kuhusu ligi ya Italia? Hiyo kwanini isiwe farmers league Kama Juve anauwezo wa kuchukua ubingwa Mara 8 mfululizo?

Haya Basi mtuambie, ninyi mlitaka Messi ahamie timu gani?

FB_IMG_1628613320757.jpg
 
mimi kama mimi nilitamani sana angejiunga na timu ya wananchi, young africans
nawasilisha.
 
Team Ronaldo mlikua mnataka Messi ahame ligi kama Ronaldo leo mmebadilika Tena baada ya Messi kwenda PSG

Aisee eti mnasema kaenda farmers league Basi sawa ligi ya Ufaransa ni farmers league vipi kuhusu ligi ya Italia? Hiyo kwanini isiwe farmers league Kama Juve anauwezo wa kuchukua ubingwa Mara 8 mfululizo?

Haya Basi mtuambie, ninyi mlitaka Messi ahamie timu gani?

View attachment 1887532
Walitaka aende Bayern Munich

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuuu kuna kaandiko haka kasomeni kuna maarifa kidogo ikikupendeza na kakura tupige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom