toby ziegler
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 105
- 58
Naamini Membe kashajipanga vilivyo
Sasa bora tujakua team yake kuanzia kwenye media, online media, serikalini, sekta binafsi, ndani ya chama, nje ya nchi etc
Hiii ni muhim tukajua ili akipata urais tusijeanza lalamika ohhh sijui nani katokea wapi au akianza kulipa fadhila tukaanza kulalamika
kwa kuanza tuuu kuna habari kuwa kwenye kona ya Membe ni hawa hapa chini na sababu nyote mnazijua:
Mwanakijiji ni team Membe miaka nenda rudi
..........unajua leo, pole!!!!! ndio maana anajaribu kuonesha ubaya wa Lowassa bila kwa upande wa pili kutuambia ni nani anafaa, japo moyoni mwake anataka tusome "Membe"Mwanakijiji ni team Membe miaka nenda rudi
........hahaaaaaaaaaa!!!!!! BMW/M siyo.........Naamini Membe kashajipanga vilivyo
Sasa bora tujakua team yake kuanzia kwenye media, online media, serikalini, sekta binafsi, ndani ya chama, nje ya nchi etc
Hiii ni muhim tukajua ili akipata urais tusijeanza lalamika ohhh sijui nani katokea wapi au akianza kulipa fadhila tukaanza kulalamika
kwa kuanza tuuu kuna habari kuwa kwenye kona ya Membe ni hawa hapa chini na sababu nyote mnazijua:
Mwanakijiji ni team Membe miaka nenda rudi
Leo ndio numejua
Of all people nilidhani Mwanakiji ni independent minded lakini nimetonywa kuwa ana "tow the line" anafuata instructions toka kwa "JAMAA YETU"