Kwa kuonesha huyu jamaa yu Serious na kuutaka U Rais, team yake imekuja na android app kwa jina Team Lowasa.
Kwa wale mtumiao device zinazo run on top of Android Operating System,nenden kwenye Play store mtaiona.
Naandika haya kwa Masikitiko kwa kuwa bado UKAWA hawajatupatia counter attacks zozote juu ya huyu Kiumbe.
Ni hayo tu wakuu.
Hongereni sana akina Pasco , Mko mbele sana ki FITNA
Jamani, yeye hafanyi juhudi za Urais hapo alipo. Anachofanya ni kuhakikisha anabeba bendera ya CCM kwenye uchaguzi 2015 basi, suala la urais anajua fika una wenyewe ambao ni UKAWA.