Sasa si uende unasubiri nini, au hadi usikie kuna ubwabwa wa bureNi mimi hapa ila si mwana CCM.
nipo tayali kwenda kusafisha kaburi lake kule Chato Geta (Geita).
Na yeye tulishauri akazikwe na mama yake!!!!Zitto aliwashauri mkazikwe nae
Hata hivyo team samia ni huko maofisini kwenu lakini huku ground ni team jpm na tunasubiria direction. Natuma salamu kutokea kaburini chato!!!!!Nyinyi Mwendazake bado hajaoza ni mbichi
HaaaaaaaaaHata hivyo team samia ni huko maofisini kwenu lakini huku ground ni team jpm na tunasubiria direction. Natuma salamu kutokea kaburini chato!!!!!
Team JPM ni wale wote waliokuwa wanajuhusisha na wizi wa Mali za uma na kuzipeleka kwao kama JPM alivyokuwa akiijenga chatoWadau nimekuwa Nasikia TEAM JPM mara SUKUMA Gang je Hii TEAM JPM ni AKINA NANI?
na Hii SUKUMA Gang nayo ni AKINA NANI?Ninachojua JPM alikuwa Mwanachama wa CCM ni Dhahiri hiyo TEAM JPM nao ni Wanachama wa CCM
Je CCM imepasuka Mapande Mawili? Ngoja tusubiri Maadam TEAM JPM WAMEAMUA KUJIPANGA
View attachment 2289027