Ndugu, nenda kwenye shule wewe mwenyewe. Ni rahisi sana kupata kama binafsi utakwenda kwenye shule mbalimbali kuomba nafasi. Shida iliyopo kwa baadhi ya wahitimu ni kuwa, wapo ambao hawazunguki sana kutafuta ajira wao binafsi, wakiwa na imani kuwa fani walizosomea ajira nje nje, zunguka ndugu na utapata tu, ila kama utangoja mpaka watu wakupashe habari unaweza ukakaa sana.