Teachers‘ Junction

Mnawalima shingap kwa hizo offer zao?kama sio mnagawana pasu kwa pasu thijui
 
Walimu wa Diploma science name arts kwa Ajili Yale bagamoyo shule Ya primary
450,000/ to 550,000/

Walimu wa awali (nursery)
Tegeta
200,000/ to 300,000/

Form six alosoma physics na math
+255-75381858
Mwisho tarehe 01/02/2014
 
teachers‘ junction;8546362 said:
Huenda unadhani ni hivyo kwa kuwa Kola wazo Lina thamani yake.
Lakini hakuna ukweli.
Tunakata 8-20%.
Karibu
hayo makato ni kila mwezi au?
 
Walimu wa Diploma science name arts kwa Ajili Yale bagamoyo shule Ya primary
450,000/ to 550,000/

Walimu wa awali (nursery)
Tegeta
200,000/ to 300,000/

Form six alosoma physics na math
+255-75381858
Mwisho tarehe 01/02/2014

Mkuu ukipata shule kwa ajili ya BIOLOGY NA GEOGRAPHY Morogoro road nistue, naona waifu itamfuaa.
 
Hv jamaan hawa jamaa ni wakweli ama ndo vile tena wajinga ndo waliwao? Mi nna mashaka ila acha nijaribu maana ukiogopa kujaribu maana yake umeogopa kufanikiwa
 
Mahitaji ya walimu wa primary.
1. Diploma na Grade A.
mikocheni Dar es salaam.
Salary 400,000/= to 500,000/=
chakula cha asbh na mchana.
usafiri ni pamoja na wanafunzi.
mahitaji ni walimu watatu.

2. Diploma na Grade A
Mbezi ya kimara.
salary
400,000/= to 495,000/=
chakula asbuh na mchana
usafari na wanafunzi
mahitaji walimu kumi na moja.

Nb.
interview ni leo tarehe 04,02 mpaka 10,02,2014.

+255-753810857.
 
Tunashukuru.
kwa wale walokuwa hawaamin kwa huduma zetu sasa wamethibitisha uhalisia wetu.
kwa msimu 2014 huu tumeweza kupeleka walimu 42 ndani ya Dar es salaam na 18 nje ya dar.
huku tukifanya kaz na shule kubwa kama.
Agape
Centennial seminary
st.Anna maria
Ununio Seminary.
Green Acres
Kings
Philadephia
kamo
Genious
Marian
Coletha
Heri
Waamuzi
Kunduchi
Na nyingine nyingi.

+255-753810857
 
Mimi mwanafunz wa udsm nasoma baed(history na geography) natafuta part time job vp naweza kupata, kama n ndio namba zg n 0783450530 kwa majibu mkuu
 
Naomba nitoe ushuhuda mnamo tarehe 30/01/2014 niliona tangazo la hawa jamaa hapa jukwaani kwa kuwa nilikua cna ajira na nnauzoefu wa kufundisha masomo ya sayansi vzuri mana nmemalza kdato cha 6 nkawapgia cm wakaniambia niende na vyeti na passport size 3 na pesa ya uanachama sh 10,000. Nilihisi ni utapeli na kipnd hcho nilikua nimebaki na akiba ya sh 30,000 tu lakn nikajpa moyo ni heri nijarb niibiwe kuliko kukaa 2 cna dira. basi nkaenda na jamaa kesho yake wakanpelek shule ya CENTENNIAL CHRISTIAN SEMINARY kufanya enterview. Namshukuru mungu nilipass na tarehe 4/02/2014 nilianza kazi rasmi kama mwalimu wa Hesabu. Nawashukuru sana Teachers junction na Mungu wa mbinguni kwa kulifanikisha hili. Kwa sasa nimekopa pesa ya kunisogeza koz kuna uhakika mwisho wa mwezi. Naomba nitoe angalizo hapa uwanjani kuna wa2 wanajifanya wajanja na wajuaji wa kila k2 lakn kumbe hawana k2 mana comment zao zilitaka kunikatisha tamaa ila moyo wangu ukanisukuma kujaribna nkafanikiwa. Tafadhar kama unajijua unauwezo na ungependa kufundisha wasiliana na hawa jamaa wako simple n serious na makato yao ni yakawaida sana.
 

Hawa jamaa wa teachers junction ni kweli wako serious.Mimi nililipa hyo elfu kumi na kweli wameshaniita usaili mara kibao ila tunashndana kwenye salary.Maana nipo Tusiime secondary hapa hela ninayopewa kuja kupata challenge yake sio rahisi.
Mfano hao st.Anne ya mbunge wa Bk vijijini mwaka jana nilifanya usaili tena sio kupitia kwa hawa jamaa.Tulikuwa watu kibao.baadae wakanipgia niende kuanza kazi eti salary wanatoa 450.nkawapgia chini.
 
walimu wa masomo ya biashara kwa Olevel.
Kongowe ya kibaha.
offer

Nyumba
kitanda na godoro
salary not less than 450,000/=
chakula asubh,mchana na ucku.

sifa.
Awe diploma au graduate.
mwenye uzoefu ni mzuri zaidi.
Mwalimu afike kwetu kabla ya jumaatatu 10,02,2014.

+255-753810857
 

Thankz bro.
i wish kila mmoja angekuwa na moyo kama wako.
mungu akuongoze.
kazi njema
 

level gani ya elimu inayotakiwa?
 

habari zenu teacher's junction, mimi ni mwl wa geography na civics/general studies, nina uzoefu wa zaidi ya miaka 6 serikalini, kwa sasa nafanya Masters ya Education hapa UDSM, naomba mnitafutie shule maeneo yoyote hapa Dsm au pwani, napatikana 0759 401230/ 0714 408238/ 0659 408239.
 
Habari wana jf.
ile nafasi ya kongowe kibaha haipo tena.
imeshapata watu.

kwa sasa kuna Diploma na Grade A mbezi ya kimara.
salary 550,000/= to 600,000/=

kuna
diploma.Grade A na Nursery nafasi mbili kila mwalimu.
bunju ya tegeta.
salary Diploma 400,00/= to 420,000/=
Grade A 250,000/= to 320,000/=
Nursery 200,000/=to 220,000/=

kote kuna chakula asubuh,mchana Na usafir wa bus la shule ukipenda.
mwisho wa offer jtano 12,02,2014.
+255-753810857
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…