teacher.......

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
1,900
Reaction score
582
Teacher: "Who can tell me what 7 times 6 is?"
Student: "It's 42!"
Teacher: "Very good! - And who can tell me what 6 times 7 is?"
Same student: "It's 24!"
 
ha ha haaa, huyo mwanafunzi baadae atakuja kuwa kiongozi wa CCM kama sikosei vile.
 
:bange:Kama mwalimu amegeuza swali na yeye anageuza jibu,:bange:
 
Mwanafunzi wa aina hiyo ndo aina ya wale wanasiasa wanaosema ufisadi ni wa mtu binafsi na sio chama, mara gafla wanakuja na ajenda ya chama 'kujivua gamba'
 
Kwani ile ilikuwa ni mase au??
 
kweli hao wanafunzi wamekaa ki ccm ccm vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…