Tcu

Sio presha nawe gumu kuelewa?wanatudanganya,kwan wakisema hata watatoa december alaf watekeleze sisi tungelaumu?tatizo waongo!
mbona mwaka jana walitoa september...kama umefaulu chuo utaenda tuu...presha za nini

mbona mwaka jana walitoa september...kama umefaulu chuo utaenda tuu...presha za nini
sasa wale ambao majna yao hayatatokea si itabd wa apply tena? Km mwsho wa kuapply ni tar 22mwez huu kvp watoe septmba?!!

mbona mwaka jana walitoa september...kama umefaulu chuo utaenda tuu...presha za nini

Hamna mwenye presha ndugu,tatizo ni taarifa za uwongo mara early July mara 4th August.Wangesema septemba nani angelalama?

Kweli wakuu, kinachotukera ni uongo wao, sio kuchelewesha matokeo. Bora watoe tarehe ya uhakika.. Watu wengine tupo tempo, inabidi tujue lini tuataanza chuo.

it seems watoto wa vgogo ndo wanatafutiwa post kwa iyo adi wapate ndo watapublish matokeo.

Yani asee tucshangae,sisi ni SPECIMEN!..

Yani hii nchi hata Mungu nahisi ameichoka kha.. Sisi ni matatizo weeeeeee,kulalamika weeeeee,mvua zikinyesha tunalalamika,zikiacha tunalalamika.. Haya tcu nao,huku Uda,huku ATC,huku UFISAdi na nahic tunaowalilia tcu,hatujajua HESLB kama wapo,ngojen zamu yao mtaona..

hahahahaaa, kweli HESlb wanatuangalia tu, ngoja zamu yao ifike.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…