jamaa yuko right coz jana nliingia na ilikubal but file halikuingzwa kwa mfumo wa PDF.Na kama uktaka kujtafuta mwenyew kuna sehem ya kuandka index no,year,1st and last name and degree.Also kuna link kwa ajl ya unselected applcnts.
ni kwel ukitaka kujua ili uingie kwenye mkato eka nukta wakat unaeka number yako kama user name mfano s0781.29121.2009 na ueke paswrd zako yan ucje ukaeka mkato eka nukta? ukfanya hvo ndo utaweza login kwny hyo site ya login 4 higher institution halaf fuata maelekezo
Sidhan kama ni sahihi kudanganyana kwenye sehemu muhimu kama hii....hicho kinachosemwa hakiko coz tumejaribu sana bila mafanikio....tusitumie pressure waliyonayo wanaosubiri kuwayumbisha kimawazo

Mbona mi yangu imekubal nazawengne msiwe wabsh jaribun yan unavoeka ile user name yko kwny cas huwa inakua kama hv s0714/0163/2009 sasa uceke kama 4mat hyo eka iwe s0714.0163.2009 huu ni mfano hlf eka ur pasword yan kwny ile site ya login 4 higher student i swear 2 god ctanii