Aisee hii kitu imetokea hata kwa chalii wangu mmoja,,yeye amesoma EGM na aliappy UDSM,Ardhi na Mzumbe course za biashara lakini cha kushangaza kwenye majina ya waliokuwa not selected alikuwepo akafanya application kwa 2nd round akachagua St. John Dodoma but selection zimetoka leo amepangiwa bachelor of science in computer and information system na kwenye selection za UDOM yupo..naweza nkaelezewa hapa inakuwaje aisee..