tcu vipi tena?

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
155
Reaction score
88
You appear to have been previously admitted. Please consult TCU with evidence that you are no longer a student and that you owe no tuition and other fees to your former institution. Otherwise you will not be able to proceed to Programme Selection or get admission this year.sasa niende na evidence gani mwaka jana nilipangwa cbe dar sikwenda coz ckupata loan.
 
Nenda TCU ukandike barua ya kutoa jina kwenye system ndio utaweza kuapply.
 
Umeshindwa kuelewa kilicho andikwa?
 
Hata mimi imeniandikia hivyo japo nilipeleka barua na nikaandika nyinhine palepale na nikaambatanisha
 
Inaonekana hukufuata taratibu za kusitisha mwaka wa masomo. Umejiamulia mwenyew kutokwenda mwaka jana na kutegemea kuapply upya mwaka huu bila kujua process ziko vipi. Wasiliana na tcu ujue watakusaidia vipi. Ushauri wangu ni huo.
 
Mawasiliano ya tcu tafadhali yaweke hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…