mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Usiwajibie TCU wao pia wana nyenzo zote za kutoa taarifa kwa umma juu ya kwa nini ucheleweshaji huu unatokea.TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza kutuma code hizo hadi sasa... Na zoezi hilo kwa taarifa iliyotolewa na TCU kuwa zoezi hilo linafungwa tarehe 5(kesho)... NATUMAINI TCU INAJUA INAFANYA NINI KWAHIYO WANAFUNZI MSIWE NA MUNGU AWABARIKI
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umewapa taarifaVijana mtulie nimewapigia simu TCU wamesema code walianza Jana na kufikia SAA Tisa Leo watakuwa wamekamilisha zoezi lao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi namba yao naiombaVijana mtulie nimewapigia simu TCU wamesema code walianza Jana na kufikia SAA Tisa Leo watakuwa wamekamilisha zoezi lao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio vijana tu hata wazazi tunashindwa kujua na kuamini kinacho endelea na TCU wako kimya.Vijana mtulie nimewapigia simu TCU wamesema code walianza Jana na kufikia SAA Tisa Leo watakuwa wamekamilisha zoezi lao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupeni hizo namba BasiJamani hata Mimi nimechaguliwa udom na saut ila nimeongea nao hawa TCU wanasema wanaomba radhi kwa usumbufu wapo wanarekebisha makosa na wamesitisha kutuma hizo code number maana hata waliotumiwa inagoma