Julius Husseni JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 1,435 Reaction score 1,195 Oct 4, 2016 #1 Wakuu ivi I Ada ya Tcu ua tunalipa kila mwaka? Kama ni ivo inakuaje wakati tumedailiwa mara 1 mwenye uelewa atufafanulilie apo..... Asanteni
Wakuu ivi I Ada ya Tcu ua tunalipa kila mwaka? Kama ni ivo inakuaje wakati tumedailiwa mara 1 mwenye uelewa atufafanulilie apo..... Asanteni
E Emanuel maliselo Member Joined Sep 29, 2016 Posts 8 Reaction score 0 Oct 4, 2016 #2 Sio kila mwaka kk ile ada ndo tyr umelipa hakuna tena kulipa
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Oct 4, 2016 #3 unalpa kila mwaka
V2d JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 204 Reaction score 31 Oct 4, 2016 #4 Kiukweli hii pesa kuitoa inaniuma sana
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 575 Oct 4, 2016 #5 Kila mwaka 20,000 lipeni tu