TCU & NACTE sept 2015/16

hangahanga

Senior Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
128
Reaction score
6
Jamani mm naomba niulize je inawezekanaje baadhi MAJINA ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2015/16 na yasionekane katka website ya TCU na vyuo husika nina Ukakasi na hayo majina!!???? NAOMBENI MAJIBU WADAU!!
 
inategemea vyuo ulivyo viomba that means kama kuna chuo ulikiomba na hakijatoa majina yake jina lako litakuwa huko
 
hawawezi kuweka majina kwa sasa TCU ,mpaka 2nd round application deadline ipite ,means after 30 september ndo tutegemee post kutoka kwa upande wa TCU..ila kwenye vyuo tayar majina yapo ndo maana unaona hali kama hyo.
 
how and where pipoz we get information about candidate to be selected? na je kuna watu wanatoa info kabla ya wahusika NACTE and TCU kurealize info?? na je zina usahihi kwa kiasi gani xo watu wengine wanapaniki na kukata tamaa kutokana na kutoonekana jina lake Kwenye BARTCH 1 wakati alikuwa na GPA nzuri tu.
 

Infact hili swala siyo nzuri...japo lishakua mazoea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…