Muhas Histotechnology ushaipata mkuu.Wakuu, kwanza niwasalimu.
Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.
Wakuu nakaribisha maoni;
Anayeweza kuotea nitakuwa nimechaguliwa wapi namkaribisha.
ANGALIZO; Ambaye ataona hii post imemboa naomba asichangie.
1. MUHAS............Histo technology
2. St. JOSEPH......MD
3. KAIRUKI...........Nursing
4. St. JOHN...........Nursing
5. SUA...................Bio-processing
Karibuni tupunguze stress.....[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
hawa wanafunzi wa siku hizi wanapenda tittle za chuo kuliko course ambazo wanaenda kusomea, ilimradi tu na yeye aonekane anasomea MUHAS au UDSM, ndo unakuta mtu anaishia kusoma likozi halina hata futureMuhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
Ndo maana nkaona nimwambie ukweli yaani hapo dogo umepoteaaaaa.hawa wanafunzi wa siku hizi wanapenda tittle za chuo kuliko course ambazo wanaenda kusomea, ilimradi tu na yeye aonekane anasomea MUHAS au UDSM, ndo unakuta mtu anaishia kusoma likozi halina hata future
umepata chuo gani....Muhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
hv iyo dv 4 inakuaj kwa mwaka jana........Muhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
kuna Div 4 zilikuwa na Principles mbili mwaka jana wa BRN hao wanajua wenyewe....D ilikuwa principle last year....na wako wengi tu hao wenye Div. 4 chuohv iyo dv 4 inakuaj kwa mwaka jana........
ahaaaa ndoo mana wamepewa C kama principal pass noma sana.....kuna Div 4 zilikuwa na Principles mbili mwaka jana wa BRN hao wanajua wenyewe....D ilikuwa principle last year....na wako wengi tu hao wenye Div. 4 chuo
Noma, kitu kama DDC/DDE ilikuwa ni div.4 kama sikoseiahaaaa ndoo mana wamepewa C kama principal pass noma sana.....
sasa hawa tcu kwel balaa kama mtu hakuenda chuo mwaka jana si ndo kakisahau kabisa kwer labda ipite huruma....Noma, kitu kama DDC/DDE ilikuwa ni div.4 kama sikosei
Samahani mkuu...Wakuu, kwanza niwasalimu.
Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.
Wakuu nakaribisha maoni;
Anayeweza kuotea nitakuwa nimechaguliwa wapi namkaribisha.
ANGALIZO; Ambaye ataona hii post imemboa naomba asichangie.
1. MUHAS............Histo technology
2. St. JOSEPH......MD
3. KAIRUKI...........Nursing
4. St. JOHN...........Nursing
5. SUA...................Bio-processing
Karibuni tupunguze stress.....[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Huko sahihi mkuu...mtu anajaza course ya ajabu kisa tu kasikia ipo muhas au udsmhawa wanafunzi wa siku hizi wanapenda tittle za chuo kuliko course ambazo wanaenda kusomea, ilimradi tu na yeye aonekane anasomea MUHAS au UDSM, ndo unakuta mtu anaishia kusoma likozi halina hata future