Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,174 Reaction score 6,338 Sep 19, 2021 #21 Inakuwa vizuri pale unapokuwa na option ya kozi moja na chuo kimoja pekee kitakachokufaa huku ukiwa na vigezo.
Inakuwa vizuri pale unapokuwa na option ya kozi moja na chuo kimoja pekee kitakachokufaa huku ukiwa na vigezo.
K KATA KUCHA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 220 Reaction score 131 Sep 19, 2021 #22 bababite said: Aseeeeh, Nahitaji ushauri Nina mdogo wangu kaconfirm kozi bilA kuifatilia na baada ya kumuuliza kanambia ameconfirm tayari na hiyo kozi kiukweli aifahamu je anauwezo wakuconfirm chuo kingine kwa wakati huu ambapo ameshaconfirm Click to expand... Anaweza kutumia code hizo hizo alizotumia ku-confirm, aka-unconfirm au ku-cancel admission. Jaribu kufanya hivyo.
bababite said: Aseeeeh, Nahitaji ushauri Nina mdogo wangu kaconfirm kozi bilA kuifatilia na baada ya kumuuliza kanambia ameconfirm tayari na hiyo kozi kiukweli aifahamu je anauwezo wakuconfirm chuo kingine kwa wakati huu ambapo ameshaconfirm Click to expand... Anaweza kutumia code hizo hizo alizotumia ku-confirm, aka-unconfirm au ku-cancel admission. Jaribu kufanya hivyo.
vampire123 JF-Expert Member Joined Apr 17, 2016 Posts 1,310 Reaction score 869 Sep 19, 2021 #23 Mwenye conctact na TCU naomba
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 17,411 Reaction score 17,014 Sep 30, 2021 Thread starter #24 vampire123 said: Mwenye conctact na TCU naomba Click to expand... www.tcu.go.tz