Hey friends, Kuna ndugu yangu nlikuwa namfanyia application kwa tcu, wakat nafanya adding ya re-sit kwa form 4, naletewa error inasema redundancy error, kama Kuna mtu ashaipata hii error, na how to solve it, mana mewatafuta kwa simu cjawapata tcu, plz help me if u know something.