TCRA Yazipiga faini Kampuni za Simu

Sasa kama tunaohujumiwa ni sisi watumiaji wa hiyo mitandao, kwa nini faini wasilipwe waasirika kama fidia?
 
Mi najua tu hiyo ni danganya toto sidhani kama hiyo adhabu itatekelezeka ila tusubiri tuone,,,,!!
 
Spoofed msgs aliziruhusu Makamba akiwa Mawasiliano.....sasa wasilielie
 
Mbona litaarifa lirefuuuu...mpaka lina boa kusoma . mimi
nimeshindwa hata kulisoma, sijui huyo afisa habari wake ni
mwandishi wa OFM..?
 
25m ndio faini ya kuzipiga hizi kampuni? Si utani kabisaa huu. Hizi pesa wanazipata ndani ya sekunde kadhaa tuu watakazotuibia mkoa mmoja tuu.
 
Hawa na mitandao yao wanatulia hela zetu mpaka,bora majipu yao yatumbuliweeee.
 
Back
Top Bottom