Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,366
- 2,796
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]unataka kusema niniKuna group la waganga limeandaliwa like manyaunyau so jiandae,wataanza kupita mtaani itakuwa kivumbi mtaani watakimbizwa mpk wazee navitambi vyao..[emoji23]
Hakuna kitu wanaweza kukufanya.
Kama sheria ya nchi itakataza matumizi ya VPN basi tambua kwamba watumiaji wa VPN , hasa wale wanaolengwa hawatatumia hizi VPN cheap. Zipo VPN ambazo mtumiaji anaweza akapatiwa hiyo huduma ya kutotambulika kama ameunganishwa.View attachment 2781980
Siku ya ijumaa mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania iliweza kutoa tamko juu ya matumizi ya VPn nchini ni kosa la jinai hivyo unaweza kufungwa au kutoa faini ya milioni 5 au vyote kwa pamoja.
Lakini watu wengi wamejiuliza maswali wanawezaje kujua kama natumia Vpn Kwenye simu au kompyuta?? Leo nakujuza japo kwa uchache TU si unajua Teknolojia ni Yetu sote [emoji85].
View attachment 2781985
Vpn kirefu chake ni Virtual private network Kazi yake ni kumfanya mtumiaji wa intaneti kuwa Salama kwa kuficha utambulisho wake wakati anatumia mtandao kufanya shughuli Fulani.
Watu wengi utumie Vpn kuingia kwenye website (tovuti) , apps au sehemu ambazo zimezuiliwa au huduma ambayo nchi au eneo uliyopo hauwezi kutumia ndipo watu utumia Vpn kuingia maana taarifa nyingi za kibinafsi zinakua zinafichwa.
View attachment 2781984
View attachment 2781983
Unajua ISP(Internet service provider) q anatumika sana Kwenye masuala mbalimbali ya intaneti kwani yeye ndo anatupa ruhusa ya kutumia Netflix, kuchati , kutuma email kufanya Chochote Kwenye intaneti.
Kiufupi TU Unapojiunga Kwenye Vpn Tcra kupitia ISP ambao ni Tigo, voda, Airtel, halotel wanajua unatumia Vpn na umejiunganisha lakini hawajui nini unachokifanya ndani yake kwa sababu taarifa zote zilizopo ndani ziko very Encrypted na haiwezekani kujua kilichopo ndani.
View attachment 2781981
ISP anaweza kujua vitu kadhaa TU Kwenye Vpn
• kiasi gani Cha data umetumia ulipojiunga na Vpn
• Ni muda gani umetumia Kwenye kujiunganisha na Vpn
• Isp anajua umefungua google chrome lakini hajui ndani ya Google chrome ume search kitu gani nk.
Kikubwa unapotumia Vpn tumia Kwenye matumizi yaliyo sahihi sio kutumia Kwenye matumizi ambayo yanavunja sheria kwa namna moja au nyingine.
Nasimama na Tcra [emoji18] Kwenye hili.
1. wanajua kwamba unatumia VPN, logs zote ISP wako anazo, mda gani umewasha VPN, anaona VPN server's IP ambayo umekuwa connected to, na kiasi gani cha data umetumia kwa mda uliowasha VPNMambo Gani ukifanya Kwa Kutumia VpN TRA hawakugusi mfano Mimi natumia kuingilia JF na social media zingine
Nadhani kama ukiingia kwenye zile zilifungiwa na serikali hapo unakuwa umekiuka Sheria sio
Hata PakaJimmyKama sheria ya nchi itakataza matumizi ya VPN basi tambua kwamba watumiajinwa VPN , hasa wale wsnaolengwa hawatatumia hizi VPN cheap. Zipo VPN ambazo mtumiaji anaweza akapatiwa hiyo huduma ya kutotambulika kama ameunganishwa. So, katika hili kama kuna big fishes waliwalenga, badi warudishe mpira kwa kipa wakaanze upya.
Ila kama walilenga kuwadhibiti watanzania hawa akina Sukununu, na akina baba Ndubwi na akina Ustaadhi Chogo, basi watakuwa wamefanikiwa kwa 100%.
Naona ndio maana wanambania bwana X(elon musk) kuleta intaneti yakeView attachment 2781980