TCRA na Serikali mulikeni TING wanatuibia

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
2,215
Reaction score
329
Hiki king'amuzi n shida kweli kweli...

Kwa wiki unaweza pata Masafa siku tatu tuu na wakat mwingine wiki inaisha hakuna masafa.

Utaona kinakwambia.. NO SIGNAL.. Ukiwapigia simu hawapokei wala kukupigia..

Kimsingi wanatuibia fedha zetu waziwazi..... Na wanafanya makusudi kubana matumiz..

Napenda pia kutoa rai kama kuna mtu anataka kukinunua ni bora akaachana na mpango huo bora ununue start times ni kizuri mno... Huyu muhindi Alinandezi hafai hata kuigwa si mtu wa Mungu Bali mwizi mkubwa.

Naomba mamlaka husika mlione hili na mchukue hatua Kali hata kuwafungia daima
 
Oneni sasa huku Mbeya Leo kimekata siku ya tano no report ....wapo kmya tu utazan mabubu vile
 
we nawe star times ni majanga zaidi kinakata taarifa zote zinazowakosoa serikali! Vyote hivyo ni tatizo labda Azam ndio kiboko
 
Rie continental tunatesa ukinunua basi unatunia tu.
 
January makamba yuko wapi mtaka urahisi badala ya urais hata hili limemshinda.
 
Eti nunia startimes hata bure sitaki.dawa yao ni Azam TV tu
 
Hiki king'amuzi n shida kweli kweli...

Kwa wiki unaweza pata Masafa siku tatu tuu na wakat mwingine wiki inaisha hakuna masafa.

Utaona kinakwambia.. NO SIGNAL.. Ukiwapigia simu hawapokei wala kukupigia..

Kimsingi wanatuibia fedha zetu waziwazi..... Na wanafanya makusudi kubana matumiz..

Napenda pia kutoa rai kama kuna mtu anataka kukinunua ni bora akaachana na mpango huo bora ununue start times ni kizuri mno... Huyu muhindi Alinandezi hafai hata kuigwa si mtu wa Mungu Bali mwizi mkubwa.

Naomba mamlaka husika mlione hili na mchukue hatua Kali hata kuwafungia daima

Nunueni azam tv tunakula bata tu kwa 12500 kwa mwezi. Vodacom premier league, mwezi huu wanaanza onyesha league ya uganda na burundi. Usisahau league one. Serial , na ujerumani through zbc 2 and urban tv.
 
Weye ni muongo startimes nuksi
 
Naona mawakala wa ving'amuzi mmeamua kuchafuana! Eti changu kizuri chako kibaya wakati vyote vimeo tu
 
Matangazo ya biashara ..... tunangoja wengine waje wasema vyao vikoje!
 
Kama hupo safi dstv hakuna shda km haupo safi basi azam ndio chaguo lako.!Sio mawakala bali kizuri kinajiuza
 
Wewe ferre.g ni mwongo, mbona mimi sina shida nao TING? tena nawatumia kwa miaka miwili. Una namba gani ya Customer Care? Mbona mimi nina hizi namba halafu wanitunza vizuri sana? Piga simu uone: 0684999230 , 0767999230, 0653999230 na 0655999354. Hivi wewe unapiga namba gani?

Nyumbani na vingamuzi ya Startimes, TING na Azam lakini TING imekua imara na ya ukweli kuliko zote. labda wewe unafanya kazi kampuni ya vingamuzi ndomaana unataka kuwaharibia jina. tulia wewe
 
Mbona hamna fair competition.jitahidi kumheshimu competitors wako
 
Nunueni azam tv tunakula bata tu kwa 12500 kwa mwezi. Vodacom premier league, mwezi huu wanaanza onyesha league ya uganda na burundi. Usisahau league one. Serial , na ujerumani through zbc 2 and urban tv.
Tena mwisho wa mwezi huu wanatarajia kuongeza chanel nyingine,
Azam tv ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom