Hao unaowashitakia ndio chanzo cha kuingiliwa kwa mawasiliano yako sio ktk TV bali hata simu!Habari na poleni na msiba wa Mzee Mengi,bila kupoteza muda niende kwenye mada;malipo ya mwezi ya kisumbusi changu kilikwisha jana 8.5.2019 lakini kutokana na usawa bado unabana bado sijapata pesa ya kulipia (subscribe) lakini tangu jana startimes wananiletea message kwenye uso wa runinga yangu kila baada ya dakika 5 yaani hata kwa zile channel za bure unashindwa kuangalia hata taarifa ya habari,naomba tcra uchukue hatua haraka sana dhidi ya hawa startimes hasa kwa hizi channel za bure kama ni kukumbusha wanitumie sms 1 tu kwa njia ya simu,nawakilisha.
Hakuna siku niliwachukia hawa wavimba macho kama jana,yani kutwa nzima ni sms tu,alafu inakaa mda mrefu wakitoa wana tuma nyengine, ilibidi nizine tu,Habari na poleni na msiba wa Mzee Mengi,bila kupoteza muda niende kwenye mada;malipo ya mwezi ya kisumbusi changu kilikwisha jana 8.5.2019 lakini kutokana na usawa bado unabana bado sijapata pesa ya kulipia (subscribe) lakini tangu jana startimes wananiletea message kwenye uso wa runinga yangu kila baada ya dakika 5 yaani hata kwa zile channel za bure unashindwa kuangalia hata taarifa ya habari,naomba tcra uchukue hatua haraka sana dhidi ya hawa startimes hasa kwa hizi channel za bure kama ni kukumbusha wanitumie sms 1 tu kwa njia ya simu,nawakilisha.
Utabonyeza marangapi, wengine limonti zilisha kufa, mnafanya vibaya bana,Habari! kuondoa tatizo hilo bonyeza sehemu iliyoandikwa exit kwenye remote control, ujumbe huo utatoka.
Endelea kutumia Startimes.
Ramadhan Kareem.
Asante khursaHabari! kuondoa tatizo hilo bonyeza sehemu iliyoandikwa exit kwenye remote control, ujumbe huo utatoka.
Endelea kutumia Startimes.
Ramadhan Kareem.
Hapa ndio sielewi ni kwanini DSTV, Zuku na Azam walizimiwa channel za ndani; somebody to explain please
Haa ha ha, we jamaa hivi kuna mtu makini hua anaangaliaga hiyo tvKwa Dstv unaweza kuona TBC
Naona jana walijua watu wengi wangeangalia sababu ya mzee mengi, hivo walikuwa wanatumia fursa hiyoSijui leo bado wanaendelea kutuma messages zao zakukera.