Hii radio Clouds si kuna tetesi kuwa Edward Lowasa ameikodi hadi 2015 baada ya uchaguzi kwa ajili ya kumpigia campaign.
Ameikodi au ameinunua?
Mmh! Mi nieleweshwe kwanza, yaani kichwa cha habari cha gazeti ndo kimemfananisha Mbowe na mwanamke, au walee wachambuaji wameongeza yao ikiwemo hiloo la kumfananisha Mbowe na mwanamke!???
Kwa sasa ipo chini ya mamlaka yake sasa sijui ameinunua au ameikodi kwa mda
Ni kwenye kipindi cha asubuhi ya leo. Wakichambua kichwa vya habari kwenye gazeti la Majira kilichoelezea safari ya Mh. Mbowe barani ulaya wamemfananisha na mwanamke ambaye hajafanyiwa kitchen party ambayo humwelekeza mwanamke kutokutoa siri za ndani nje.
Kwa maana hii UKAWA wameolewa na CCM? Na pia ule mfano walioutoa juu ya mbwa kufukuza magari walikuwa wanamaanisha wabunge wanaoibua hoja juu ya ufisadi. Kwa maana nyingine ni kule kutokuchukuliwa kwa hatua stahiki kwa watuhumiwa ndo maana wakawafananisha na mbwa wanaofukuza magari?
Hili la watangazaji wa aina ya Kija kutubomolea amani yetu halikubaliki.
Hata mimi nimeshangazwa sana na uchambuzi wa habari wa namna ile. Kuna vijana malimbukeni na waganga njaa clouds
liberate yourself from mental slavery and use swahili language.Freedom of speech you d**khead.