TCRA huwa mnasikiliza kipindi cha magazetini kinachoendeshwa clouds tv?

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,365
2,000
Ni kwenye kipindi cha asubuhi ya leo. Wakichambua kichwa vya habari kwenye gazeti la Majira kilichoelezea safari ya Mh. Mbowe barani ulaya wamemfananisha na mwanamke ambaye hajafanyiwa kitchen party ambayo humwelekeza mwanamke kutokutoa siri za ndani nje.

Kwa maana hii UKAWA wameolewa na CCM? Na pia ule mfano walioutoa juu ya mbwa kufukuza magari walikuwa wanamaanisha wabunge wanaoibua hoja juu ya ufisadi. Kwa maana nyingine ni kule kutokuchukuliwa kwa hatua stahiki kwa watuhumiwa ndo maana wakawafananisha na mbwa wanaofukuza magari?

Hili la watangazaji wa aina ya Kija kutubomolea amani yetu halikubaliki.
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,690
2,000
Hii radio Clouds si kuna tetesi kuwa Edward Lowasa ameikodi hadi 2015 baada ya uchaguzi kwa ajili ya kumpigia campaign.
 
Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,242
2,000
Mmh! Mi nieleweshwe kwanza, yaani kichwa cha habari cha gazeti ndo kimemfananisha Mbowe na mwanamke, au walee wachambuaji wameongeza yao ikiwemo hiloo la kumfananisha Mbowe na mwanamke!???
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,690
2,000
Mmh! Mi nieleweshwe kwanza, yaani kichwa cha habari cha gazeti ndo kimemfananisha Mbowe na mwanamke, au walee wachambuaji wameongeza yao ikiwemo hiloo la kumfananisha Mbowe na mwanamke!???
Gazeti hilo gazeti ni moja ya vipeperushi vya Lumumba na halina wasomaji wengi, Clouds nao wametumwa wasome hicho kipeperushi.
 
Mapya Yaja

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
560
500
Hata mimi nimeshangazwa sana na uchambuzi wa habari wa namna ile. Kuna vijana malimbukeni na waganga njaa clouds
 
Nel Nelson

Senior Member
Jan 2, 2014
154
0
Ni kwenye kipindi cha asubuhi ya leo. Wakichambua kichwa vya habari kwenye gazeti la Majira kilichoelezea safari ya Mh. Mbowe barani ulaya wamemfananisha na mwanamke ambaye hajafanyiwa kitchen party ambayo humwelekeza mwanamke kutokutoa siri za ndani nje.

Kwa maana hii UKAWA wameolewa na CCM? Na pia ule mfano walioutoa juu ya mbwa kufukuza magari walikuwa wanamaanisha wabunge wanaoibua hoja juu ya ufisadi. Kwa maana nyingine ni kule kutokuchukuliwa kwa hatua stahiki kwa watuhumiwa ndo maana wakawafananisha na mbwa wanaofukuza magari?

Hili la watangazaji wa aina ya Kija kutubomolea amani yetu halikubaliki.
Hayo ni mazeze! kama ulikuwa hujui
 
chetume

Senior Member
Oct 8, 2014
106
195
Clouds TV ni ya kingese sana yana wale vijana sijuh wamesoma wapi huo huandishi Wa habari naongea pumba tupu kazi yaho ni majungu tu kama vile wapo kichen pati malabuku
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,365
2,000
Hata mimi nimeshangazwa sana na uchambuzi wa habari wa namna ile. Kuna vijana malimbukeni na waganga njaa clouds
aina ya tv presenters wa clouds ni sawa na wale wa ile redio flani nchini kenya walioshtakiwa The Hague kwa kosa la kuendesha propoganda mbaya kupitia chombo chao cha habari. Nao clouds ni sera yao kuwakera watu ambao hawapo studio na hawawezi kuwajibu hapohapo. Kwa hili wadau, sheria inayodhibit vyombo vya habari inasemaje?. Na kwanini mwenye stesheni ya clouds anawaacha hao kina Kija kuprovoke watu wenye itikadi na mrengo tofauti na ccm?. Nimshauri Mbowe na ukawa team kukishtaki chombo hiki kwa kuwafananisha na mbwa kwani ushahidi upo wazi.
Na sheria inasemaje pale mtu anapotafsiri title iliyoandaliwa na chombo tofauti na kupotosha maana iliyokusudiwa na mwandishi wa habari hiyo?.
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,365
2,000
Freedom of speech you d**khead.
liberate yourself from mental slavery and use swahili language.
Sawa sijakukatalia. Lakini ukumbuke uhuru wangu unaishia pale wa kwako unakoanzia na kinyume chake ni sawa pia.
Jiulize basi, ni busara kuutumia uhuru ulio nao vibaya?
Uhuru gani wa habari unaokuruhusu wewe kuwafananisha watu na mbwa tena wanaofukuza magari wakati wenye magari wamekaa raha mstarehe?. Ingekuwa wewe ndo mhusika (mbunge-ukawa) ungejisikiaje you tumbili head?.
 
chambonga

Senior Member
Nov 5, 2014
154
0
Watangaji wenyewe ni wale wanojua kuongea na si wenye taaluma ya uhandishi wa habari, wako wengi humo kama kibonde, shafii, nk much know sana wakiongozwa na ruge...Nina mwaka sasa sijawahi kusikiliza upuuzi wao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom