Wizzo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 723
- 256
Kiukweli hiki kisimbusi ni usumbufu, toka nimenunu mwezi wa nane sasa kidude kinascrach mda wote, picha mbovu hakuna nachoonazaidi ya mgando wa picha mda wote. Nimekwenda ofisini kwao hapa Arusha wakanambia ndiyo wanarekebisha sioni mabadiliko yoyote mpaka najuta hela yangu ngenunua hata mifuko ya sementi.signal iko poor wanataka uweke liakntena juu utafikiri ni analog bwana,mbona visimbusi vingine havihitaji kutoa nje? Jipangane bwana tumechoka huu wizi kama mlijua bado hajajipanga msingeomba kibali. Na nyie TCRA mue mnaangalie kabla hamjaipa kampuni kazi, naomba muwachunguze kama hawana uwezo muwafute kwasababu wanatupa mateso sisi wateja.huku Arusha hakifanyi kazi kabisa