Tchisekedi anavyochezeshwa rumba na Marekani

Tchisekedi anavyochezeshwa rumba na Marekani

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,931
Reaction score
7,828
Marekani kupitia wakala wake mkuu maziwa makuu Paul Kagame walishakubaliana mpango wa namna ya kudhibiti madini ya congo kwa kuhakikisha nchi ya congo haitawaliki. Kagame ndio msimamizi mkuu. Yeye mpango wake ni kuhakikisha nchi ya congo na maeneo yote maziwa makuu yanakua kama vichuguu vya mchwa ambapo askari ni watutsi.

Askari wa kitutsi wanahakikisha utawala wa vichuguu vya mchwa ni wa kitutsi ambapo watumishi 'labourers' ni wabantu. Hilo kagame amelisimamia kwa ukakamavu na amesababisha maafa makubwa huku akihakikisha watutsi ndio wanafaidika na uwakala wa kusafirisha madini ya congo kwenda nje kupitia kigali.

Sasa tshisekedi anapoingia kichwakichwa kwa uroho wa kuhongwa huku ana waroho watupu wa mali za magendo kwenye serikali yake hakika anaishia kumrahisishia kagame shughuli. Juzi tu wametiliana sahihi nchini marekani twanda aondoe majeshi kongo.

Ila tumeona makomanda wa jeshi la congo wakiwasafishia njia M23 kwa kuamuru vikosi vya wanamgambo wa kibantu wazalendo kuwapisha M23 waende kukamata mji muhimu wa uvira. Badala ya kagame kuondoa askari zake ndio kwanza askari wa kitutsi wa m23 wanazidi kusonga mbele kwa kutumia njia ya kutoa rushwa kwa watawala congo..
 
Akili za kuambiwa changanya na zako
 

Attachments

  • 020fb9b738fc094928887e8de02a7353_1765250875397.mp4
    977.4 KB
Kwani ao M23 awawezi ingia bongo na uhakika watapata support ya wananchii na hii kufanya vita Yao kuwa nyepesi mnoo
 
Back
Top Bottom