TBT


Mimi ilitokea tukapenda, hicho kipindi sikuwa nawaza vyote hivyo!!!!
Mwenyewe alikuwa ananiambia real love anaipata kwangu wanawake wengi walikuwa wanamchuna tu!!!!

Labda inawezeka kwa hilo sijui la umaskini sijui

Yaani hii huwa naipiga Kofi kabisaaaa!!!
 
nahisi nitapata ujuzi humu humu kutoka kwenye uzi itabaki kwa kuona kungwi😊,,, hiyo ya kunaniliu miki nimeibabe kama ilivyoπŸ˜€,,, sema nimecheka sana hapo kwenye kuipigia makofi kyuuma yako dahπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

tukutane part 5 usisahau kuniita niikute ikiwa ya moto kama hiiπŸ”₯
 
πŸ˜†
Ungempenda usingeenda kwa dokta akutue ile bkra then urudi kumsalit guess what pesa na power ni weapons
 
Endelea kujifunza vizuri uwe professional kumzidi leo dada ila mim sina hela😊
 
Hiiiiiiiiiiiiiii πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€ umepiga piga nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…