ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,924
- 61,043
Dah..!! Alafu sasahiv kuna watu wanamnanga as if kafika tu hapo kirahisi rahisiEnzi hizo domo anaokota vyuma chakavuView attachment 1831180
Watanzania ni wanafiki sana..Dah..!! Alafu sasahiv kuna watu wanamnanga as if kafika tu hapo kirahisi rahisi
Alafu unamkuta mtu analalamika jamaa anaringa ... dohNi kweli ametoka mbali sana muache afaidi mema ya muziki wake.