Tbs

Tbs

genuine1

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
57
Reaction score
12
Wakuu naomba msaada nimeitwa kwenye interview TBS kwenye nafasi ya inspection technician naomba msada wa interview zao zinakuwaje ni written interview then ndo oral.Thanks in advance
 
We ishakula kwako, huwez kaz unalalamika serkali inabana haya umeitwa interview unataka upewe desa, shame on you
 
Its just sharing of idea,kama hujui or your not willing potezea sio sehemu ya kejeli hii.Hili ni jukwaa la wanaojielewa(The Home of great thinkers)
 
kaka jamaa anachokwambia ndoo ukweli, wameamua kukuita interview unaanza kuomba msaada wa jinsi ya kujibu maswali maana yake nn, na hiyo kazi utaiweza kweli maana inaonyesha haujiamini,,,,sasa ukikosa kazi utamlaumu mtu maana kila kitu unataka urahisishiwe,,,,ur not serious na kazi na kama ungejulika kwa jina basi ungekuwa disquirified maana haujiamini hata kidogo,,,,au umehonga ili uitwe interview na jamaa uliyempa pesa akakwambia atakuita ila chumba cha intrvw komaa mwenyewe maana hatakuwepo,,,,,,acha uvivu wa mawazo,,,,,mm mwenzako hata leo nisikie naenda kufanyiwa intvw na Obama nakwambia ukweli najiamini sana,,,watz mnataka kazi hata kuitetea hiyo kazi hamuwezi mnataka msaada wa mawazi, shame on you,
 
Mtu asiulize hata mtiririko wa interview bila kuonekana amehonga kupata kazi au kuonekana kilaza? Ndugu zangu lazima muelewe kuwa kuna tofauti kubwa kati ya nyie wenye experience ya muda mrefu na sisi ambao ni wachanga kwenye swala la ajira. Kujiamini tunajiamini kwa kiasi fulani, sio kweli kwamba hataweza interview kabisa au kushindwa kazi moja kwa moja kwasababu mmekataa kumpa mwanga wa what to expect kwenye interview yake, lah hasha!
From my tiny experience though, written ndio inaanza then oral inafwata ukipass written. Kila la kheri.
 
kaka jamaa anachokwambia ndoo ukweli, wameamua kukuita interview unaanza kuomba msaada wa jinsi ya kujibu maswali maana yake nn, na hiyo kazi utaiweza kweli maana inaonyesha haujiamini,,,,sasa ukikosa kazi utamlaumu mtu maana kila kitu unataka urahisishiwe,,,,ur not serious na kazi na kama ungejulika kwa jina basi ungekuwa disquirified maana haujiamini hata kidogo,,,,au umehonga ili uitwe interview na jamaa uliyempa pesa akakwambia atakuita ila chumba cha intrvw komaa mwenyewe maana hatakuwepo,,,,,,acha uvivu wa mawazo,,,,,mm mwenzako hata leo nisikie naenda kufanyiwa intvw na Obama nakwambia ukweli najiamini sana,,,watz mnataka kazi hata kuitetea hiyo kazi hamuwezi mnataka msaada wa mawazi, shame on you,

hiyo kazi ya inspection technician walitaka mtu yyt mwenye diploma,sijui hapa atasaidiwaje.....
 
We ishakula kwako, huwez kaz unalalamika serkali inabana haya umeitwa interview unataka upewe desa, shame on you

He is desperate, please help him if you know anything.
 
Mkuu naona ww hujanielewa kabisa,sio kwamba sijiamini najiamini sana ila ni kwamba natakujua je interview za TBS huwa zinakuwaje,najiamini sana mkuu tena sana its more than the way you think.
 
Kama unajiamini sasa hapa unatafuta nini?
 
Kaka ulipigiwa simu kk au wameweka kwenye website yao
 
Mkuu naona ww hujanielewa kabisa,sio kwamba sijiamini najiamini sana ila ni kwamba natakujua je interview za TBS huwa zinakuwaje,najiamini sana mkuu tena sana its more than the way you think.
Mkuu mimi nakushauri piga madesa yako fresh..sali na uende na Mungu wako naona humu hamna msaada...haya ni mawazo yangu tu..
 
inategemea na mwandaaji wa interview, mara nyingi wanaanza ya kuongea ili kupunguza wasiojua kiingereza na wasio na confidence. Kwa kuwa inspection technician inafanywa na mtu mwenye professional yoyote, kuwa na idea tu ya nini maana ya inspection na majukumu ya tbs na ya inspection technician. Kuwa smart na usijione hata kama unamjua mtu kwenye interview room. All the best
 
kaka wasikukatishe tamaa me mwenyewe nipo nimeitwa
records nitafute humu tupange vizuri 0788 161180
 
Back
Top Bottom