Mwl JJ Member Joined Jan 31, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Jun 5, 2016 #1 Habari wana jamvi mimi kilio changu ni ubora wa misumari ya sasahivi, msumari mpya na mbao mbichi kabisa lakini msumari unapinda yaani sehemu ya kutumia kilo moja ya misumari unatakiwa kuongeza nusu au kilo kabisa sasa cjui tbs
Habari wana jamvi mimi kilio changu ni ubora wa misumari ya sasahivi, msumari mpya na mbao mbichi kabisa lakini msumari unapinda yaani sehemu ya kutumia kilo moja ya misumari unatakiwa kuongeza nusu au kilo kabisa sasa cjui tbs
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 5, 2016 #2 Misumari na siasa wapi na wapi?