TBS, Mafuta ya kupikia yanatoa povu. Je, yameisha muda wake?

Kaka kwamatumiz ya nyumban sawa sasa nauza chips mafuta ya alizeti au karanga inawezekanaje?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
..sasa sidhani kamaTBS wameweka standards za namna ya kuyazalisha hayo mafuta kwa wazalishaji wakubwa na wale wadogo au kila mtu anapuyanga tu.......TBS tokeni huko mlipojificha mkaangalie ubora wa mafuta haya au mnasubiri hadi watu wapate madhara.
Wana jengo kubwa sana dar, ukifika pale wanazungukazunguka tu mle utadhani wamepotea wanakokwenda, kumbe urasimu mtupu, hii nchi shida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…