zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
ikiwa leo ni siku ya mwisho ya utumiaji wa simu feki au zisizo na viwango.kwa kudodosa kwangu kote shirika ambalo ni shirika pekee kwa uundaji wa viwango nchini ,ni kwamba mpaka sasa hakuna uwepo wa kiwango hicho,ambacho ndio msingi mkuu wa utambuzi wa simu feki hapa nchini.
TCRA wao ni taasisi ya udhibiti tu lakini custodian wa standard wa nchini Tanzania ni Tbs.
hizi hasara zinazopatikana sasa kwa wateja walionunua simu hizo ni lawama tosha kwa taasisi ya fair competition ndio taasisi pekee ya kumlinda mteja na majanga kama haya.
simu zinaingia tena zinapita kiwanja cha ndege,taasisi zote hapo uwanja wa ndege tbs,fair competition ila hawa tcra wao hushinda ofsini tu.Leo hii tcra wanawapa hasara ambazo zingeweza kuepukika kwa namna moja au nyingine.