Mitomingi8s
Senior Member
- Jan 17, 2011
- 132
- 39
Hello wana jamii mwenye update za kuitwa kwa interview kwa posts zilizotangazwa april 2014 atujuze hapa maana kimya kingi au walishaita? na kulikuwa na posts nyingi tu
kwani TBS maombi yao yalikuwa yanajitegemea? kama walipitia utumishi wa umma tayari wamekwisha ita, utumishi wa umma wameita nafasi walizotoa tangia mwezi wa kwanza.
kwani TBS maombi yao yalikuwa yanajitegemea? kama walipitia utumishi wa umma tayari wamekwisha ita, utumishi wa umma wameita nafasi walizotoa tangia mwezi wa kwanza.
Hizi post hazikupitia kwa manyang'au utumishi
Mkuu naona utumishi huwapendi kweli. Vp wamekundenda lipi baya?