TBL mpooo

Nitafungua bar mtaani kwangu sasa
 
Ndio tupo hapa.......
 

Attachments

  • 1414316489933.jpg
    36.3 KB · Views: 345
Mi niko china saivi embu niambie nikakakchukue mtaa gani nikapandishe kwenye kamtumbwi kangu kwani kanakaribia kutoa nga......ahaaaaa

China kubwa sana nyamchele njoo huku mongolia
 
Last edited by a moderator:
TBL wanaingiaje hapo?Ninachoona ni maandalizi ya cocktail ya mkojo na maziwa!
SHIEKA huo sio mkojo ni bia kabisaa tena yenye viwango, huyo moo anatoa laga badala ya maziwa
 
Last edited by a moderator:
hao watafugwa kwa wingi sana maeneo ya sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…