TBC2, ni nini hiki?

Hahaah, salamu za sikukuu na za pasaka zitafuatana na mei mosi, sabasaba na nane nane [emoji23][emoji23][emoji23]


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Kuna comedian kibao youtube wachukue hata clip zao tucheke tu!..
Umefikiri vizuri, Nadhani wanahitaji mawazo mbadala katika uendeshaji wa vipindi vyao..!!
 
hao jamaa ni vituko kweli, wanajiunga na tbc 1 kwenye taarifa ya habari lakini wakati huo huo unasikia sauti ya mziki.
 
TBC kiujumla wamejazana wafanyakazi wasio na ubunifu kuhusu nini jamii ya watanzania wanataka

Sent using Jamii Forums mobile app


Creative people kama Tido nchi hii hawatakiwi kwakuwa wanapata umaarufu na kuwa kivutio kwa wengi, matokeo yake wanahofiwa kuwa wanataka madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…