M Mkumbwa Jr JF-Expert Member Joined Mar 23, 2016 Posts 2,702 Reaction score 3,839 Nov 14, 2017 #1 Kero yangu ni hii Chanel kukata sauti muda wa vipindi vya bunge Je hii ni bahati mbaya au ni dhamira? Jamani wanaohusika acheni kuhujumu shirika letu
Kero yangu ni hii Chanel kukata sauti muda wa vipindi vya bunge Je hii ni bahati mbaya au ni dhamira? Jamani wanaohusika acheni kuhujumu shirika letu
Ki Mun JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 3,442 Reaction score 4,393 Nov 14, 2017 #2 Kwani bunge huonyeshwa Live? Au wewe ni mmoja wa wale wanaongalia live kutokea Ikulu mkuu
Sam 2013 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 484 Reaction score 492 Nov 14, 2017 #3 Ki Mun said: Kwani bunge huonyeshwa Live? Au wewe ni mmoja wa wale wanaongalia live kutokea Ikulu mkuu Click to expand... Linarushwa TBC 2 hata saivi naangalia
Ki Mun said: Kwani bunge huonyeshwa Live? Au wewe ni mmoja wa wale wanaongalia live kutokea Ikulu mkuu Click to expand... Linarushwa TBC 2 hata saivi naangalia