Tbc1 on azam tv

mtweve

Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
96
Reaction score
8
Wadau naomba msaada,nafanyaje niweze kuona full screen tbc1 kwenye kisimbusi cha azam tv? Natanguliza shukrani....unaweza kuni pm au whatsap 0753 380 229
 
Hiyo itakuwa ni wenyewe azam wanarusha kwenye format tofauti na 4:3 hata kwangu inaonyesha hivyo hivyo imeminywa solution ni kupiga customer care yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…