Am a star
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 167
- 158
Najua mpaka unaisoma hii uko poa kiafya angalau.. Hata kama si sana.
Kifupi sana ni kwamba; Picha mbovu, Sauti ndio laaa, Kumradhi, kama elfu kwa siku, Habari hii watatangaza itaonesha nyingine, Mara harusi... Mpangilio wa vipindi F. F. F.
Watangazaji wake wengi ni kama hawajiamini. Hizo camera zao sijui walipiga ufisadi ni mbovu..
Mzee njooo huku utumbue.. Au mkabidhi mzee Mengi hadi pale itakaponyooka.
Sisi vijana hatupendi kuiangalia coz bado ipo Analog.