After Tido, we went back to TVT. Mtu mwenyewe kasomea Kivukoni enzi zile za kulishwa siasa mfu za ujamaa unategemea atafanya nini? Kwanza ni tv ya chama hiyo wala haihusiani na michezo. Nimesikia redioni wakitangaza kuwa TBC2 aka TVT2 wataonesha marudio ya Taifa Stars na Ivory Coast nkasema hivi hakuna live match LEO hadi watuoneshe recorded ambayo matokeo tunayo? Nimemkumbuka Tido kweikwei!!!!