TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
340
Reaction score
448
Habari za mchana wana jf, TBC1 walisema wataonyesha mechi 32 kati ya 54 za AFCON, mwenye kujua mechi hizo ni zipi aniambie hapa.
 
Sasa siku kukiwa na mkutano mubashara wa Rais Samia na Mawaziri wake Ikulu,kuzindua miradi au Mkutano Ccm nk watakatisha matangazo ya mpira km mechi itakuwa ilishaanza na km Bado kuanza Ina maana haitaoneshwa kabisa? Majibu tafadhali wale makada kindakindaki waliopo umu jf..
Lakini Bdo local tv stations zetu nyingi hazina mng'ao HD sio Itv,sio Chanel taifa Tbc nk, ila ndo Ivo km huna Hela kulipia elfu28 Tbc huwez kuikwepa kwenye hizi Afcon ila stl sio reliable na efficient
 
Sasa siku kukiwa na mkutano mubashara wa Rais Samia na Mawaziri wake Ikulu,kuzindua miradi au Mkutano Ccm nk watakatisha matangazo ya mpira km mechi itakuwa ilishaanza na km Bado kuanza Ina maana haitaoneshwa kabisa? Majibu tafadhali wale makada kindakindaki waliopo umu jf..
Lakini Bdo local tv stations zetu nyingi hazina mng'ao HD sio Itv,sio Chanel taifa Tbc nk, ila ndo Ivo km huna Hela kulipia elfu28 Tbc huwez kuikwepa kwenye hizi Afcon ila stl sio reliable na
 
Back
Top Bottom