nover JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 239 Reaction score 178 May 20, 2012 #1 jamani tbc1 inaelekea wap?, kipindi kile Tido Muhando hupo madarakani, vipindi vilikua vizur kwanzia vya burudani habari, michezo kama kuonesha mechi mbalimbali, lakini kwa sasa imepoteza mvuto!
jamani tbc1 inaelekea wap?, kipindi kile Tido Muhando hupo madarakani, vipindi vilikua vizur kwanzia vya burudani habari, michezo kama kuonesha mechi mbalimbali, lakini kwa sasa imepoteza mvuto!
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 May 20, 2012 #2 hakuna TBC bali TBCCM1 angalia zingine hiyo wengi tulishaifuta ktk akili kama ipo labda tuirudishe kuwa mali ya umma
hakuna TBC bali TBCCM1 angalia zingine hiyo wengi tulishaifuta ktk akili kama ipo labda tuirudishe kuwa mali ya umma
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 May 20, 2012 #3 Tido aliondoka na ubunifu wake, yamebaki ma-poyoyo.