hata kwenye website ya
Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) wemeweka matokeo ya ARUSHA Kiti cha urais
CCM = 15000 (20.24%)
CHADEMA = 35000 (47.23%)
CUF = 1000 (1.35%)
NCCR = 20000 (26.99%)
TLP = 3000 (4.05)
ZILIZOHARIBIKA = 100 (0.13%)
Haya matokeo hayajakaa sawa kwani namba ziko kama za kufanyia majaribio system.
Du ghafla yameyachomoa na sasa wameandika "YANAKUJA HIVI PUNDE"