daniel kalasha
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 548
- 72
KWENYE TAARIFA ZAENU ZA HABARI HASA MNAPO RIPORT TAARIFA ZA BUNGE LA KATIBA KWENYE SI MARA MOJA MNAKOSEA JINA LA MWENYE KITI WA MUDA MNAANDIKA PUNDA BADALA YA PANDU KIFICHO:faint2:
Na wewe rekebisha hilo
Pia TBC Taifa rusheni vipindi vya bunge asubuhi na jioni. Sio kama sasa mnarusha asubuhi tu.KWENYE TAARIFA ZAENU ZA HABARI HASA MNAPO RIPORT TAARIFA ZA BUNGE LA KATIBA KWENYE SI MARA MOJA MNAKOSEA JINA LA MWENYE KITI WA MUDA MNAANDIKA PUNDA BADALA YA PANDU KIFICHO:faint2:
Na wewe rekebisha neno "sio".... na wewe rekebisha kichwa cha habari sio "lekebisha"