TBC sio ya kikabila au kivyama inatangaza mambo ya kitaifa tu yenye maslahi kwa Kila mtanzania labda ulipie kutangaza mambo yako binafsi ya kichama,kidini ,harusi,kitchen party nkKwenu,
Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa
Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mbowe kashinda kesi au kapata tu dhamana?!!Kwenu,
Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa
Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?
Sent using Jamii Forums mobile app
SorryKwani Mbowe kashinda kesi au kapata tu dhamana?!!
Kwenu,
Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa
Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?
Sent using Jamii Forums mobile app
kati ya makosa walofanya ccm ni kuua taasisi za umma kwa kujaribu kuzifanya kuwa mali za chama, mfano vyama vya msingi vya ushirika, viwanda, ranchi za taifa na shirika la ndege leo CCM haohao wanamtafuta mchawi pasikujua TBC kama chombo cha umma wanaenda kukifanya kuwa kama tv ya mazoezi ya mlimani tv.. shame kwa wasomi wa tanzania kwa kuziba masikio.
Tbc ni chombo cha propaganda cha ccm inafanya kazi kwa maagizo kutoka Lumumba na ikulu huyo ryoba hana mamlaka yoyote hapo msimlaumu bure ameamua kuziba masikio na kuamua kuendekeza tumbo kama wasomi wengine walivyoamua kupumzisha akili zao na kuamua kumtumikia bwana ili kuganga njaa.Kwenu,
Katika hali ya kushangaza jana TBC hawakutangaza habari ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kuachiwa
Kada maarufu wa CCM "Bollen Ngetti" ni mmoja wa watu waliolaani kitendo hicho na kuitaka TBC kama chombo cha habari cha Taifa ijitathmini upya. Unazungumziaje hii mdau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm mamburula zoba mavi...Sorry
Chadema mabwege according to my personal assessment
Bora ile channel ya wanyama yenyewe huwa naitazama..TBC sio ya kikabila au kivyama inatangaza mambo ya kitaifa tu yenye maslahi kwa Kila mtanzania labda ulipie kutangaza mambo yako binafsi ya kichama,kidini ,harusi,kitchen party nk
TBC ni national broadcasting company sio partisan unless you pay for your telecast or broadcast to satellite agents of telecast transmitters
Sikutegemea kuwa kuhani naye hana ufahamu wala faida kwa waumini.Sorry
Chadema mabwege according to my personal assessment
Kama hiyo nayo unaiita assessment, basi una assessment ya kipumbavu kuliko Zumbukuku.Sorry