Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Leo kisimbuzi changu kimeisha salio chanels zote hazioneshi ispokua TBC, cha ajabu channel hii imepoa mno, yaani hata haivutii kutizama, mi napendekeza na yenyewe itolewe salio linapoisha ili kubana matumizi maana haitizamwi kihivo licha ya kuwa ni 'free' na ukizingatia inaongozwa na mtu aliebobea kwenye tasnia hii tofauti na huko nyuma.