TBC na taarifa yao ya habari

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Natumia King'amuzi cha Azam, kifurushi kimeisha lakini TBC inasoma kama kawaida, nilizani kuangalia taarifa ya habari TBC ni kitu rahisi, kumbe ni bora uangalie mdumange utaongeza siku za kuishi kuliko hii Channel,

Hapa najiuliza, hivi hii TBC inaendeshwa na kodi za walipa kodi au inaendeshwa na fedha zitokanazo na miradi ya Chama Cha Mapinduzi??!!.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
DU! MIMI HATA SIIJUAGI HIYO MAANA NAJUA NIVIGUMU KUTANGAZA HABARI ZA KURIDHISHA WATANZANIA
 
Ha ha ha ha ha...@Maserati hivi na wewe unaangaliaga habari ya TBC?
 
lipicha libaya haswa wakiwa live yaan tbc imeozaaaa
 
Weka CAPITAL TV nayo inabakiaga,
 
Komaa nao mkuuu angalau utumie kod yako kidogo
 
nishaa i block kwangu. Sitaki ugonjwa wa moyo kwa asira kila ninapoiona.
 
Imatumia fedha za makinikia...
 
Ni kweli TBC inamapungufu mengi lakini kuhusu taarifa ya habari hujaainisha hayo mapungufu, umeandika kishangingi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…