TV nyingi bongo utayarishaji wa habari za kimataifa ni sifuri kabisa, TBC hawaeleweki, ITV ndo sifuri kabisa tena yenye masikio yani wanasoma mstari mmoja tu na hakuna hata tafsiri fupi. Ni Star TV peke yake wanaoandaa vizuri habari za kimataifa, habari inasomwa kwa ukamilifu na kutafsiriwa vizuri bila haraka.