Nyie mbona wa senge nyaji c mfuate tbc muwaambie
aliyeandika hii na yeye ni great thinker?
Wakuu mimi kuna dada mmoja anafanya kazi TBC niko nae close uwa anasisitiza ile station inaendeshwa na state house na watu wa t.i.s.s,anasema hata wao binafsi yao ni wachache sana wanaosupport magamba,ila wanakuwa hawana jinsi kwa kua kila kitu cha kufanya wanaambiwa wafanye kutokana na maelekezo ya ikulu,c.c.m au usalama,huyo dada(sitamtaja kumlinda) yeye binafsi ni mshabiki mkubwa wa c.d.m,ndio maana hata Tiddo hakuongezewa mkataba kwa kua halikiuka matakwa ya mambumbu wanaojiita wakubwa na halikua hataki kuburuzwa,alitaka chombo cha umma kienendeshwe kama chombo cha umma cha habari kwa watanzania wote na si kama chombo cha watu wachache au chama fulani,huyu mkurugenzi aliyekuwepo sasa ni mlamba miguu kuliko kiasi,na viongozi wetu mbumbu ndicho kitu wanachopenda hiko!ushauri ni kua hiki chombo kipotezeeni tu,ni bora kuangalia itv au star tv,na sio huu uchafu!
aisee na mimi nimeliona na imenishangaza sana ila siku zote mvua haizuiliwi kwa mikono.yahaani issue kubwa namna hii inakuwa habari namba tano!!alafu kitu kingine nilichojifunza hawakutaka kuonyesha population iliyokuwepo uwanjani!!kwanza wamemuonyesha zitto kabwe,then mbowe alafu mgombea mwenyewe kwa ufupi na wakaonyesha population kwa ufupi zaidi tusubiri siku ya magamba kama habari nzima haijatawaliwa na kina nape!!!hii si haki kwa chombo cha umma kama hikikatika kutangaza uzinduzi wa kampeni za chadema mtangazaji wa tbc (amina moleli) anamalizia taarifa yake kwa kusema "uzinduzi huo ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa jiji arusha" hii maana yake nini. Ina maana si wakazi wa arumeru waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za chadema bali ni wakazi wa jiji la arusha??tbc mna bifu gani na chadema?
ni mchanganyiko wa mrangi na mmasai na anatoka huko huko meru east,kama amesema hivyo basi amekusudia
ni mchanganyiko wa mrangi na mmasai na anatoka huko huko meru east,kama amesema hivyo basi amekusudia
wanajamvi naitafuta itv tangu saa moja na nusu siipati.... Kuna yoyote anipata? Kama kuna hitilafu yoyote naomba tujulishane wakuu.