TBC mmenunuliwa vifaa vipya lakini mnashindwa kuleta coverage yenye international standard

TBC wanaajiri kwa GPA. Hakuna mwenye talent hapo. Sio kama Clouds au Wasafi au TVE. Watu wana ma Upper Second ila kazi ni ugoro mtupu!
Bora niangalie TBC Wasafi WCB ndio nini ? bora clouds kuna content .

Kwa burudani sawa content Big Noooo.

Sawa TBC ubora wa picha mbaya lakini cha kuangalia kipo, sio watu wanatikisa matako 24 hrs/7/365 eti TV bora





Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee mnapata wapi ujasiri wa kutazama TBC??

Jana kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu nikajikuta ving'amuzi viwili vyote vimekata kwa pamoja afu sina salio kwenye mobile na mvua inanyesha,mm huyo TBC nikakuta zilipendwa..nikawa naangalia huku nacheka na kujisemea moyoni hii ndio TV ya taifa inayoendeshwa kwa kodi yangu
 
Jana kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu nikajikuta ving'amuzi viwili vyote vimekata kwa pamoja afu sina salio kwenye mobile na mvua inanyesha,mm huyo TBC nikakuta zilipendwa..nikawa naangalia huku nacheka na kujisemea moyoni hii ndio TV ya taifa inayoendeshwa kwa kodi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa post umenichekesha sana kwa sentensi hii"camera man anashindwa kucontrol camera over yuko vitani"hahahaha
 
Mkuu hakuna namna, kuna baadhi ya mambo ukitaka kuangalia lazima unayafuata TBC sana sana kwa sisi watumiaji wa DSTV hakuna local chanel zaidi ya hiyo Magufuli katukomesha kwa kuzikataza kutazamwa na kila king'amuzi.
Labda Azam niitafute pia.
Nawe ni Kilaza, utaangaliaje TBC? (samahani lakini). Mtu aliyekwenda shule siwezi kuangalaia uchafu kama ulivyouita. nakubaliana na wewe kabisa. Tangu Jiwe aingie madarakani 2015/10 niliacha kabisa kuangalia TBC hasa pale alipoondoka Tido Mhando!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuharibu sura za watoto oa au olewa Zenji.
Watangazaji wao hasa wa kike hawana mvuto kabisa wanavaa nguo kama siku ya Ijumaa ili wakimaliza kusoma taarifa ya habari waende kuswali,ni aibu labda wanawapata toka Zenj.Hivi bosi wao haya mambo hayajui au hayaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna namna, kuna baadhi ya mambo ukitaka kuangalia lazima unayafuata TBC sana sana kwa sisi watumiaji wa DSTV hakuna local chanel zaidi ya hiyo Magufuli katukomesha kwa kuzikataza kutazamwa na kila king'amuzi.
Labda Azam niitafute pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zile ni bure sio pay TV,pili kisimbuzi lazima wapate leseni ile mbona azam wamebadiri sasa ni bure? Mnatetewa mleta dharau shauri yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia TBC ndiyo chombo tajiri kuliko vyote Tanzania na Afrika Mashariki hasa wakitambua rasilimali walizonazo mfano picha mbalimbali za zamani walizopiga enzi hata za mkoloni lakini historia yetu kama Taifa na utajiri wa rasilimali tulionao kama Taifa hivi vyote wakiviona hawa jamaa wakafanya biashara kisasa watatengeneza faida kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dunia ya sasa,kuna vitu baadhi hawana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipengele kwenye course ya journalism inasema. To be a good journo NEVER EVER JOIN THE ESTABLISHMENT. Hichi kipengele watu wa TBCCM hawakijui. A good journo should be able to report without fear or favour.
 
Jaman TBC n mtihani, sijawah kuielwa idara ya mitambo inafanya nn mara nying saut na matendo vinakwenda tofaut, na tena wameleta Tanzania Safar Channel n nzur ila watibu swala la saut kwenda tofaut na matendo.
 
Back
Top Bottom