TBC, hamjapata habari kuwa Mbowe kapata dhamana?

Ukiendelea kuangalia TBC1sisiem,utapata pressure bure ndugu.Achana kabisa na hiyo kitu.Habari siku hizi ni mtandaoni tu
 

Mkuu hujajibu hoja ni kwanini tbc hawahabarisha uma kuhusu jambo hili.
 
Mkuu, kama hutaki presha isiyo na sababu, wacha kuangalia TBC. Mimi niliacha tangu bunge live lizimwe.
 
Umeongea nini hueleweki kafagie uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kukatiwa channels za ndani mimi siku hizi sitazami kabisa taarifa ya habari za ndani. Nimeshindwa kuvumilia kurudisha nyuma miaka 40. Niliacha kutazama tbc 2013. Itv, na nyinginezo niliacha 2016 baada ya kulazimishwa kutangaza kama tbc.
Mkuu Upo Copyright namimi! Sitaki Kabisa, naangaliaga Hard Movies tu!
 
Inasikitisha kuona kuna Watanzania wanaoliona kila tukio la hapa nyumbani kwa jicho la wanachadema na wanaccm. Mwanachadema akiuawa mwanaccm anashangilia na kunywa mvinyo vivyo hivyo mwanaccm akiuawa. Hivi kweli hatuoni madhara ya haya tunayoyafanya. Utaifa uko wapi? Rwanda ilianza hivihivi. Madhara yake yakaja kujitokeza miaka 40 baadae. Mnataka kutupeleka huko? Kama kuendesha nchi kwa mfumo wa vyama vingi kumetushinda heri tuwaase viongozi wetu turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kama hiyo itakuwa ni gharama ya kudumisha umoja wa taifa letu uliojengwa na waasisi wetu. INASIKITISHA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwangu naona sawa tu,kwa sababu hiyo station nilishaifuta Sikh nyingi sana,hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kutangaza habari za CCM tu
 
Mkuu ukiangalia TBC unit za umeme zinaenda nyingi sana acha kuangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii TBC ni masaburi, tena ni ya watu wapumbavu, inayoongozwa na wajinga wenye fikra zilizoshikwa na watawala waliopungukiwa akili wakifurahia kuonea watu!!!
 
Iyo tisa ingezuiliwa na jiwe wangeenda live kutwa mzima, roho mnayopandikizwa ni ya kichawi/kizombi mwisho mtageukiana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msilalamike bure ukweli ni kuwa hyo
na
ni propaganda machines ya fisiem kama unabisha usiku fanya kama umekosea usikilize mazungumzo baada ya habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana mimi na familia yangu tuliacha kuangalia na kusikiliza TBC toka mwaka 2015.Sababu ni kudumaza uwezo wa kufikiri wa watoto,utakuta kuanzia habari ya kwanza hadi ya mwisho ni kusifia utawala tu as if hakuna matatizo.
 
Dictatorial mentality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…