Tazara Flyover litakavyokuwa (video)

Mimi ile video ya mji mpyabwa.kigamboni ndio ilinizuzua..
hii ya tazara ngoja tuone
 
Hiyo kitaalam inaitwa Upper passage! Pale hakuna eneo la kujenga flyover!
 
Hiyo kitaalam inaitwa Upper passage! Pale hakuna eneo la kujenga flyover!

Wabongo bhana sijui kwanini huwa tunajifanya wataalamu wa kila kitu, mambo mengine mnajiabisha tu kwani flyover si neno tu? na maana yake si ni kitu kinachopita juu ya kingine, ni rahisi kihivyo tu!
Haya sasa soma hapa maana ya flyover!

Wikipedia!
An overpass (called a flyover in the United Kingdom and most Commonwealth countries) is a bridge, road, railway or similar structure that crosses over another road or railway. An overpass and underpass together form a grade separation.[1] Stack interchanges are made up of many overpasses.
 
Sasa anayetoka airport kwenda posta anapita chini kufata kitu gani???., na mbona bado kuna kisubiriana kwasasababu niliyouliza hapo juu???
 
Video nzima sijaona kivuko cha watembea kwa miguu,sijui watapita wapi
 
Wabongo bhana sijui kwanini huwa tunajifanya wataalamu wa kila kitu, mambo mengine mnajiabisha tu kwani flyover si neno tu? na maana yake si ni kitu kinachopita juu ya kingine, ni rahisi kihivyo tu!
Haya sasa soma hapa maana ya fylover!

Wikipedia!
An overpass (called a flyover in the United Kingdom and most Commonwealth countries) is a bridge, road, railway or similar structure that crosses over another road or railway. An overpass and underpass together form a grade separation.[1] Stack interchanges are made up of many overpasses.
Wewe nawe ulituletee copy and paste, flyover gani hiyo magari yanasubiri traffic lights !? Flyover lenyewe hakuna traffic lights
 
Wewe nawe ulituletee copy and paste, flyover gani hiyo magari yanasubiri traffic lights !? Flyover lenyewe hakuna traffic lights

Kwani flyover maana yake nini? Mbona mnafanya maisha yawe magumu bila ya sababu? Flyover maana yake nimeshaeleza ni kitu kinachopita juu ya kingine, sasa kwa br. ni br. au daraja linalopita juu ya lingine, ni rahisi kihivyo tu!
 
Hiyo kitaalam inaitwa Upper passage! Pale hakuna eneo la kujenga flyover!
Hicho sio "kitaalam", lakini ni kiingereza. Huwezi kusema kuwa "upper passage" ni neno la kitaalam, hilo ni neno la kiingereza..futseke!!
 
Hicho sio "kitaalam", lakini ni kiingereza. Huwezi kusema kuwa "upper passage" ni neno la kitaalam, hilo ni neno la kiingereza..futseke!!

Afadhali na wewe umeliona hilo, ukienda Japan au Uswisi au sijui Chile ukawaambia watu flyover au sijui upper passage hakuna atakayekuelwa, lkn ndiyo hivyo, ndiyo shida ya Elimu yetu ya kukariri mtu anashindwa hata kutumia akili kidogo tu na kufikiri!
 
So far jamaa wanajitaidi sana hakuna haja ya kubishana jina all in all ni kitu hicho hicho.
Kwa mfano huyo anayesema flyover hazina taa ameshawai safari nnchi za watu akaona.
Zipo zisizo na taa na zenye taa na zote ni hizo hizo japo zinatofautiana smtym ni jambo jema sana kuwa na mtazama chanya na sio kupinga au kuponda kila kitu.
Aliye sema ya Tazara sasa wewe ulitaka waanze wapi ndo ungefurai.
Wanaanza taraza then ubungo ndo nyingine zitafata tofauti ni kwamba ya tazara ina njia moja ya juu wakati ya ubungo itakuwa na stage mbili juu.
Ukiingia youtube utakuta mchoro wote plus video yakw
 
Back
Top Bottom